Habari wanajamvi?natumai wote niwazima.
kwa mujibu wa imani zetu wapo wanao amini binadamu ameubwa na MUNGU,hii nikutokana na simulizi na vitabu vya dini.
pia wapo ambao wana pinga kwamba kwamba...
Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli
Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya...
Salaam, shalom!!
Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na...
Umefika wakati sasa, tuwaamini akina mama katika kujenga Jamii yenye usawa kiuongozi. CCM wamefanya vizuri sana na kwa hakika wamefungua njia, hivi punde tutashuhudia teuzi mbalimbali zote...
Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu.
Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu.
Wadudu OG ni...
Jana niliangalia El classico lkn lengo langu kuu ilikuwa ni kutazama bwana mdogo ambaye amekuwa akiimbwa sana kwenye platform za social media
Jana nimeangalia mechi ukitoa zile goli alizofunga...
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha).
Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio...
Habari Wana JF , samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaonii ahsanteni 🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.