Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

A
Kwa muda wa miaka 10 niliokuwa kwenye sekta ya ujenzi, nimegundua kuwa kuna watu wengi hawana sifa za kitaaluma wana vyeti vya kufoji vya ndani na nje ya nchi. Kwa kuwa bodi za kitaaluma (ERB na...
0 Reactions
2 Replies
39 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
1 Reactions
132 Replies
8K Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”. Sasa Humo Bungeni anafanya nini? Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
16 Reactions
84 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
3 Reactions
72 Replies
948 Views
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae. Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda...
2 Reactions
21 Replies
416 Views
WAH HABARI ZA UZIMA NAAMINI MMEAMKA SALAMA.WALE WALIO NA MAGONJWA ALLAH AKAWAPE WEPESI NA WALE MLIO HOSPT MUNGU AKAWAPE WEPESIS PIA MTOKE HUKOO SIO KUZURI NA AKUZOELEKI REJEA KICHWA CHA HABARI...
2 Reactions
3 Replies
27 Views
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:- Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo? Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
19 Reactions
127 Replies
3K Views
Karibu wiki mbili sasa tunatembelea ringi maji hakuna mitaa ya Kimara. Shida ni nini Dawasa?
0 Reactions
1 Replies
30 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,430
Posts
49,631,525
Back
Top Bottom