Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi. Javad anasema ajali...
41 Reactions
87 Replies
4K Views
Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5. Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni...
6 Reactions
65 Replies
2K Views
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana Kwa...
5 Reactions
22 Replies
396 Views
BURKINA FASO PRESIDENT TRAORE BOUGHT 400 TRACTORS INSTEAD OF BUYING EXOTIC CARS. SEE THE REASON. https://www.youtube.com/watch?v=tJqaGdf5OLc&ab_channel=InterVlog
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Is that true!
1 Reactions
1 Replies
51 Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
9 Reactions
101 Replies
1K Views
Jamani kwa atakae hitaji kuna kiwanda cha uzarishaji wa vinywaji raini kinafunguliwa mwezi wa wane wilaya ya nakonde karibu na mpka wa tunduma wanahitajik serious supervisors 25 kigezo ni elimu to...
2 Reactions
11 Replies
176 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Mojtaba ambaye ni mtoto wa pili wa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei Mojtaba Khamenei na Rais Ebrahimu Raisi , aliyefariki...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Wataalam, Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti. Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana. Eti anasema "ooh unafanya hivyo...
16 Reactions
78 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho. Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa...
5 Reactions
77 Replies
789 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,863
Posts
49,675,176
Back
Top Bottom