Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwalimu, kwa viwango na kipimo chochote kile, alikuwa kiongozi mwenye upeo na uelewa mkubwa kuliko Rais yeyote aliyefuata baada yake. Alifanya mambo makubwa sana kwa kuzingatia wakati wake. Kosa...
6 Reactions
27 Replies
468 Views
Vijana mlioomba kuingia TAKUKURU Majina ya kuitwa kwenye Usaili yametoka kwenye Website Sasa mkajaze Aziz Ki na Pacome kwenye Usaili
8 Reactions
88 Replies
10K Views
Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia. Wapo waumini wa kanisa moja...
12 Reactions
39 Replies
1K Views
Habari wakubwa, Mdogo wangu meno yake mawili ya mbele ni marefu kuliko mengine. Anahitaji kufanya root canal ili yawe vizuri. Ni hospitali gani nzuri kwa hii huduma na gharama zina range...
0 Reactions
7 Replies
42 Views
A
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma. Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
31 Reactions
125 Replies
3K Views
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya. DAR ES SALAAM. Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
18 Reactions
94 Replies
2K Views
Habari za Harakat za Maisha Wana forum. Mimi ni kijana WA Miaka 32 3 months ago nimekutana na demu, nikapiga kawaida Tu bila mpira..... Nikapata UTI nimekunywa flucamox mara 2, bila nafuu...
26 Reactions
389 Replies
20K Views
Rais Biden wa USA amesema Nchi yake inapinga amri ya ICC ya kuwakamata Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu na Waziri wake Gallant Biden amesema ni makosa makubwa kuwaweka Israel kwenye...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Habari za uzima, naamini mmeamka salama, wale walio na magonjwa Allah akawape wepesi na mlio hospitali Mungu akawape wepesi pia mtoke huko, sio kuzuri na hakuzoeleki. Rejea kichwa cha habari hapo...
6 Reactions
91 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,599
Posts
49,667,168
Back
Top Bottom