Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
14 Reactions
81 Replies
1K Views
Hii nakupa tu ushauri wewe unayetaka kumiliki gari lako na lisikupe mawazo ya kuonana na mafundi Kila siku. Asilimia 85 ya magari used Tanzania mmliki huuza kwa Sababu gari linamsumbua, asilimia...
51 Reactions
143 Replies
11K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
127K Views
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa...
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
16 Reactions
228 Replies
6K Views
Tukisema, ukristo umevamiwa na manabii na mitume wa uongo, watu tuwe tunaelewa. Hawa wameletwa makusudi na shetani, wamepewa nguvu za miujiza na shetani, na kujivika vazi la “ulokole” wakati wao...
7 Reactions
14 Replies
526 Views
Historia ya kweli kumuhusu Simba karatasi huko umakondeni. Mnamo miaka ya mwisho ya 80 hadi katikati ya miaka ya 90, huko kusini mwa Tanzania paliwahi kuwepo ndui aliyesumbua kwa kipindi kirefu...
11 Reactions
51 Replies
926 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
1 Reactions
130 Replies
8K Views
Angalia majiji makubwa kama Arusha, Mwanza na Dar Es Salaam! Kero zilizosababishwa na watumishi wa hiyo idara ni lukuki! Kuna waliopokonywa ardhi isivyo halali! Kuna waliotapeliwa!, n.k. Kesi...
5 Reactions
10 Replies
169 Views
Najua mtatuchoka lakini hakuna jinsi ndio Yanga tamu Tunaomba tukicheza na Dodoma tualikwe hata nje tu bungen tupate chai na spika na pongezi zenu
0 Reactions
5 Replies
111 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,427
Posts
49,631,414
Back
Top Bottom