Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu habari za muda huu. Mimi ni mkazi wa Kahama, Shinyanga, napenda sana nifanye kilimo cha vitunguu maji hasa ktk mikoa ya Singida na Manyara Tafadhari sana kwa mkazi wa Singida na Manyara...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Ilikuwa nishuke kituo A ila hakuna tatizo hata nikishukua kituo B au C
4 Reactions
8 Replies
179 Views
1. Dk. Ben Carson alisema, "Nilitatizika kimasomo katika shule yote ya msingi lakini nikawa daktari bingwa wa upasuaji wa neva duniani mwaka wa 1987." SOMO: Kupambana ni ishara kwamba uko kwenye...
8 Reactions
25 Replies
261 Views
Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na...
2 Reactions
6 Replies
132 Views
1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu. 2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku. 3. Unapo ongea na mtu...
11 Reactions
21 Replies
230 Views
Wadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au...
0 Reactions
23 Replies
402 Views
Hawa wadogo zetu almaarufu watoto wa 2000 wanashida kubwa sana, kizazi hiki cha 2000 ni kizazi cha ovyo kuwahi kutokea. Kwa muda sasa kimekuwa kikisemwa hasa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye...
4 Reactions
15 Replies
79 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,574
Posts
49,635,221
Back
Top Bottom