Usipoziba ufa utajenga ukuta huu ni msemo wa wahenga ukiwa na maana kuwa mapuuza juu ya mambo madogomadogo upata taabu na hasara kubwa baadae.
Mm naamini dalili za hili tatizo zilikuwepo ila...
Hiii ndio Sura (ufunuo) pekee katika Qur'an iliyopewa jina la mwanamke maalumu anayejulikana, ingawa ndani ya sura hii kumetajwa manabii wakubwa wakubwa kama vile Nabii Yahya, Zakaria, Ibrahim...
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, yeye hachepuki na kwamba yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia?
Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dkt. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Week Mbili zilizopita ndugu yetu intelligence Business man kwenye jukwaa hili alileta Diss ya Kendrick Lamar kwa Drake Na J Cole,katika nyimbo ya future na metro Boomin like that,,
Wapenzi wa rap...
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
Shirika la Uchunguzi la Mitandao la NetBlocks limesema changamoto ya Ukosefu wa Internet umezikumba Nchi zote za Africa Mashariki na Jirani zao.
NetBlocks wamesema nchi 12 zimeathirika japo...
Wana Simba SC Wenzangu vipi tena mbona baada ya 'Droo' ya Kagera jana ule Wimbo wa Kumsifia Kocha Mgunda siusikii tena? Tafadhali tendelee Kuuimba Ok?
Yaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani...
#nguvumoja#
VIKOSI VINAVYOANZA.
AZAM FC
SIMBA SC.
Updates...
Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa.
Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli.
Updates....
04'
Azam wanajaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.