Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
17 Reactions
177 Replies
4K Views
Mimi ni nina maswali kadhaa kuhusu hizi imani zetu hizi, naomba kwa wenye uelewa wanijibu 🙂, 1.Tunaamini Mungu anajua kila kitu , mambo yaliopita, ya sasa, na yajayo sio?, ok ivi ni kwanini wakati...
1 Reactions
12 Replies
221 Views
Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu. Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi...
2 Reactions
30 Replies
398 Views
Mkoa wa Mbeya ni Kati ya Mikoa mitano iliyopo Nyanda za Juu Kusini sanjali na Mikoa ya Ruvuma, Iringa, Songwe, Njombe na Rukwa. Mbeya ilianzishwa mwaka 1961. Mkoa wa Mbeya umejaaliwa kila kitu...
58 Reactions
639 Replies
34K Views
Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika...
3 Reactions
19 Replies
644 Views
Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania. Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja...
6 Reactions
35 Replies
816 Views
Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda...
16 Reactions
67 Replies
3K Views
Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu. Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au...
5 Reactions
63 Replies
759 Views
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma. Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
44 Reactions
281 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,031
Posts
49,649,445
Back
Top Bottom