Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Tanzania tuko njia panda kwa kweli. Tuna vijana ambao wamekulia kwenye uchawa na wanajali uongozi tu na wazee ambao hata kama wanajua na wana busara wanaogopa mawe ya CCM. Upinzani tuna vijana...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Baby . Reo nirienda kupima mareria nikaambiwa na dokita nina yutiyai,naomba unitumie era ya dawa,nitafulai sana........
Mwanamke wa hivi ni bora nikae mwenyewe
Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba.
Asante
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
Peace,
Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais"...
Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa .
Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake
Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka
Ziko wapi?
Zilifika salama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.