Habar za jioni wana jukwaa,
Ninaomba msaada mimi ni muhitimu wa master ya elimu Usimamizi na Utawala.
Sasa tokea nimalize nimekua natafuta kuhama idara japo nisogee katika idara zingine mfani...
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama...
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga...
Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
Maktaba leo imetembelewa na Mwalimu wa Historia Dr. Francis Daud.
Kilichomleta ni yeye kutaka kusikia kutoka kwangu kipi nikijuacho kuhusu mwanamapinduzi huyu.
Sikiliza mazungumzo yetu...
Awali ya yote niweke wazi kuhusu hili bandiko kwamba ninapotumia neno mwanamke mbaya simaanishi wanawake wote ni wabaya. Ni kweli kuna wanawake wabaya kitabia, lakini pia kuna wanawake wema hivyo...
Nilienda katika ofisi hiyo kutafuta huduma na kilichonishangaza ni kuona watumishi wa ofisi hiyo hawavai sare. Hapo zamani ukifika ofisi za Air Tanzania unakutana na watumishi wenye customer care...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Huu mkasa ulitokea kama miaka miwili imepita, dogo wangu alivyomaliza chuo akapata kazi shirika Moja binafsi, akafanya huko kama miaka minne akaanza mazoea ya kunipiga vizinga Tabia ambayo alikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.