Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sina kazi nashinda na simu muda wote Nipo nipo tu sina muelekeo wowote Nimemaliza Chuo mwaka Jana Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
10 Reactions
47 Replies
269 Views
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
1 Reactions
120 Replies
1K Views
Nilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa. Zimepita siku...
1 Reactions
9 Replies
72 Views
Raisi Samia kafanya ziara nchini Korea ya kusini mapema leo, ntaingusia Korea kusini kidogo leo. Nchi ya Korea kusini ilianzishwa mwaka 918, wakati wa mgawanyiko wa maeneo ya koo tatu zilizoitwa...
1 Reactions
9 Replies
285 Views
Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuli na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo. Hawa mademu wa Kizaramo wana...
12 Reactions
70 Replies
707 Views
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
47 Reactions
141 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
13 Reactions
136 Replies
902 Views
Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa. Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni...
2 Reactions
40 Replies
726 Views
Habari Wapenda Soka Na Wasiopenda Soka. Ligi imetamatika kwa viungo wachezeshaji wakiwa bora katika kufunga magoli pamoja na kutengeneza nafasi nyingi za magoili. Stephan Aziz Ki akiwa ndio...
8 Reactions
20 Replies
467 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,151
Posts
49,766,461
Back
Top Bottom