Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua...
Kiongozi wa hovyo ametugharimisha mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti. Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia maofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja...
Jana zimefanyika interview mbalimbali nchini kwa kada tofauti kwa njia ya mtandao. Lakini mtandao ulisumbua, kuna watu hawakusubmit kazi zao wakaambiwa na wasimamizi kuwa kazi zao ziko ziko...
India imevunja rekodi ya kujenga barabara ya njia 10 kilometers 100 kwa masaa 100 pekee
Sisi tunavunja rekodi ya viongozi kuzurura duniani tu bila tija yoyote ile
Habari katika picha
=====...
Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Wale mabingwa wa Uchumi, Siasa na Internet naomba kuelimishwa nini maana ya nchi kuwa huru hasa sisi wa Africa na ndugu zetu wa Ulaya Mashariki
Sina mengi niko Hapa kujifunza huku nikiwaombea...
Habari Wadau,
Hii mila ya wanaume kuwatongoza wamawake imepitwa na wakati.
Yaani unakuta dada anakufuata bra bra kibao, mara simu yangu inasumbua narekebishie, mara nimekufananisha mara hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.