Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo. Kwa anayewafahamu anisaidie
5 Reactions
98 Replies
2K Views
Nina Mifi router ya tigo, inaitwa HOME INTERNET Sasa nataka kuconnect na laptop yangu Nifanye configuration Ili niweze kutumia WIFi Msaada Kwa mtu ambae ana router kama hii tafadhari.
1 Reactions
9 Replies
58 Views
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
14 Reactions
87 Replies
2K Views
Habari za mchana wana JF, ninatumai wazima na kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema kwa uwezo wake. Nipo hapa kutangaza nafasi za vijana wa kunisaidia kuuza juice mtaani. Ninataka wasichana...
3 Reactions
7 Replies
164 Views
Kila mtu hata kama ni jasiri kiasi gani lazima kuna kitu atakuwa anakiogopa tu. Hitler mwenyewe aliogopa mtihani. Katika mazingira yalituzunguka tunaishi na viumbe hai wengi yaani mimea na wanyama...
8 Reactions
99 Replies
2K Views
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:- Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo? Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
17 Reactions
99 Replies
2K Views
Heshima kwenu wataalam, nimehamia kikazi hapa Mwanza. Sasa nimekuja kugusa bei za nyumba nikaona kama nitawapa faids tu washkaji. Maana nyumba ya standards zangu naambiwa 3,600,000/= kwa mwaka...
13 Reactions
147 Replies
19K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja Bunge limepoteza mvuto kabisa Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge Nakumbuka kabla ya bunge Kuwa la chama kimoja Wakati huu wa bunge la bajeti...
0 Reactions
11 Replies
245 Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni Mlale Unono 😀😀
1 Reactions
6 Replies
49 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,325
Posts
49,628,911
Back
Top Bottom