Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za mei mosi eti kwa sababu kikokotoo NI mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote / ccm katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa...
wakuu hali siyo powa, hivi ni kweli humu hakuna mtu anamhitaji mfanyakazi wa kumpa 3000 kwa siku nina Degree ya Accounting and Finance nipo Arusha ila ikiwa hiyo kazi ya 3000 ipo Arusha itapendeza...
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini
Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi...
Nimekuta mahali kitabu hiki (pichani) kinauzwa nikakumbuka Title yake inafanana na moja ya kitabu cha mwenzetu Yeriko Nyerere.
Nani kamuigilizia mwenzake? Kisheria imekaaje?
Dr Hussein Mwinyi Daktari wa binadamu na Rais wa Zanzibari kuwa Rais wa JMT 2025 na mgombea mwenza wake Ni Dr Titus Mlengeya kamani huyu ni waziri mstaafu na Daktari wa Wanyamapori Tanzania
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba...
Nimeajiriwa ngazi ya chini serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa.
mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo.
Nina mawazo kuacha kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.