Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake. Pia...
12 Reactions
49 Replies
2K Views
Haya ni ya kweli?
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Wakuu nisaidieni kunipa mbinu,nina ka mtaji kama laki hivi nataka daka mitumba kadhaa na kupita nayo kitaa kuizungusha, Mm ni mgeni mwanza ila nataka hii iwe starting point yangu ya kuijua...
1 Reactions
8 Replies
85 Views
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
2 Reactions
150 Replies
2K Views
GTs, Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho. Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk...
2 Reactions
28 Replies
429 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Bado sijapata leseni. Experience: 1 month, internship SUN PHARMACEUTICAL INDUSTRIES LTD. (section: Production and quality functions). Looking for any opportunity available especially in...
0 Reactions
9 Replies
110 Views
Wakati Rais akiwaapisha viongozi aliowateua, alisema aliwaacha Kabudi na Lukuvi kwa lengo la kuwavuta jirani naye kwa lengo la kumsaidia kazi maalum Ikulu. Ilionekana kama hayo majukumu...
0 Reactions
9 Replies
217 Views
i will be short simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela. contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k...
0 Reactions
8 Replies
23 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,376
Posts
49,544,973
Members
667,407
Latest member
Masele mhunzi
Back
Top Bottom