Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama...
1 Reactions
14 Replies
45 Views
Hii ni sawa ? kwamba kuna dini zinatakiwa kujua kuna wanafunzi wangapi mashuleni bila kueleza nini kinataka kufanyika? maana kama ni suala la waumini sio lazima kwenda shuleni unawapata kwenye...
7 Reactions
70 Replies
840 Views
Shaquille O'nel na mpenzi wake mpya wa maika 21 wakila raha Spain.... Hapa kuna mtu atapata muder case🤣🤣
8 Reactions
21 Replies
278 Views
Picha inaongea mengi kwakweli.
5 Reactions
16 Replies
513 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kimewaleta Pamoja Mkoani Morogoro leo Tarehe 10 Mei 29024 Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ni kawaida watu kuwa na mitazamo tofauti namna ya kuishi. Haijalishi umechukua mwerekeo upi bado kuna changamoto zitakuwepo na hata zinatofautiana uzito. Kuna msemo between two evils choose lesser...
1 Reactions
6 Replies
40 Views
REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia...
10 Reactions
40 Replies
797 Views
Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto. Big up kwa...
8 Reactions
24 Replies
156 Views
Habarini wakuu, Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata...
2 Reactions
8 Replies
164 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,019
Posts
49,587,182
Back
Top Bottom