Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu
Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni
Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana...
Ninauza pikipiki aina ya Honda Ace 125 Individual. Bei milioni mbili laki moja tu. Imekimbia kilometa 601,bado mpya, ni pikipiki nzuri kwa matumizi ya usafiri binafsi zaidi. Ipo Kigamboni na kadi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically .
Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew
Wanzaa kwa mpango
Wapo logically
Wapo na mental well being.
Be blessed , Golden generation.
Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie.
Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi.
Ukweli ni...
Tanzania ni nchi yetu sote hatuna taifa jingine zaidi ya Mama Tanzania. Tukiwa kama watanzania wenye uchungu na taifa letu hatuna budi kulilinda dhidi ya maadui au chokochoko za aina zote.
Kauli...
Za siku nyingi familia yangu, familia ya MMU. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Nilipotea kutokana na majukumu mazito ya kifamilia, lakini kwa sasa u-busy umepungua kwa namna moja ama nyingine
Nisiwe...
Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.