Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
27 Reactions
1K Replies
33K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
518K Replies
30M Views
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
36 Reactions
320 Replies
3K Views
Jf salaam. Kwa namna Moja ama nyingine naweza kukukwaza ama ukaingia kwenye Moja ya watu Hawa nitakao wataja hapa. Mimi ni binadamu kama binadamu wengine napenda na kusitopenda pia. Kwahiyo...
3 Reactions
4 Replies
5 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni hatari sana kuwaongoza watu na kuwapeleka katika njia ambayo haiwapi matumaini ya maisha na wala haionyeshi kuleta unafuu wa maisha kwa watu wala uhakika wa kutimiza...
3 Reactions
46 Replies
188 Views
HIvi mtu anatokaje asubuhi hajapiga mswaki, kuoga, kuvaa nguo safi? Yaani unakuta mtu anaingia kwenye gari ananuka kikwapa mdomo makalio mpaka mtu unaogopa kukaa nae. Hii kitu huwa inanikwaza...
3 Reactions
15 Replies
211 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran...
2 Reactions
6 Replies
171 Views
Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale, Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri. Nimekuwa...
8 Reactions
65 Replies
489 Views
Ni kwamba Katiba iko Wazi ila kuna Watu labda walitaka kufanya Janjajanja 😂 Wenzetu Iran Katiba inasema Rais akifa Makamu wa kwanza wa Rais anaassume madaraka ya Rais baada ya kuthibitishwa na...
3 Reactions
10 Replies
303 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,355
Posts
49,660,596
Back
Top Bottom