Siyo ajabu wengi hawatanielewa.
Neno "Awamu" katika uongozi nchini Tanzania halieleweki kwa watu wengi. Sababu kuu ni kutokana na upotoshaji wa makusudi.
Tafsiri ya awamu ni kipindi cha uongozi wa...
Wakuu habari za jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
Ukiangalia kwa makini watu wenye asili ya kigoma ni kwamba utagundua kuwa ni so innovative, brilliant, akili kubwa na ndo wana run tanzania hii.
Mfano.
Ali kiba
Diamond platnumz
Haji manara...
USHAURI WA ALLY KAMWE KWA AHMED ALLY.
Shida ni kwamba .. Timu inaposhinda Msemaji unajimilikisha ushindi huo. Unatamba nao na kujipa kila aina ya majina kuonyesha kwamba Wewe ni KILA KITU kwenye...
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.
Tunawaomba mzingatie...
1. Yale ya Makonda na ile TV pendwa ya pande za kwetu yametimba Al Jazeera Israel:
2. Kwamba pasipo na kusubiria kitu Al Jazeera wafunge virago?
3. Kwamba wale wachumba kumbe wamekuwa nao...
Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu...
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.