Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu bila shaka mnaendelea vyema. Baada ya kuwaza Thread 'Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada?' Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada? Nikaona thread ya jamaa humu akielezea kwamba unaweza...
5 Reactions
31 Replies
688 Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
48 Reactions
302 Replies
7K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi...
12 Reactions
103 Replies
2K Views
Kwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit). Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye...
1 Reactions
15 Replies
665 Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
3 Reactions
19 Replies
380 Views
Mkinga anaitafuta hela kwa watu wote tz ila akiipata yeye huwa ni mwiko kutumia yaani unaweza ukamkuta mkinga kakaa kama maskini ukiambiwa ndani anamiliki mabilioni Utakataa, majamaa wanaishi kama...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena...
9 Reactions
61 Replies
2K Views
Mzee alipata kuwa Jaji Mkuu Makamu wa Rais Waziri Mkuu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa...
0 Reactions
33 Replies
497 Views
Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita...
11 Reactions
131 Replies
21K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,861
Posts
49,530,131
Members
667,250
Latest member
sir dick
Back
Top Bottom