Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
Yule ndugu yetu muuza Madafu ambaye ameonekana kufananishwa na Kamanda aliyeonekana siku ya Muungano leo Ayo TV wamepita naye na amewaonesha Uwezo wake. Kama Jamaa sio Mtu wa kitengo kweli basi...
1 Reactions
4 Replies
32 Views
Wengi wamesikia kuhusu kauli ya Nape akiwa Bungeni akilalamika na kufoka kuhusiana na kauli ya Tundu Lisu aliyoitoa, akimtaja Rais Samia ni Mzanzibari. Hoja aliyoisimamia Nape ni kule kumwita Rais...
12 Reactions
17 Replies
378 Views
Wanajamii habari za majukumu: Kesho jumatano ya tarehe 01-05-2024 pale Arusha katika viwanja vya sheikh Abeid Amani Karume kutafanyika Sherehe za wafanyakazi Wote wa Umma na binafsi. Sector zote...
1 Reactions
7 Replies
171 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Wadau inashangaza na kusikitisha sana kuona Serikali Kwa maana ya Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabara kuonekana KUSHINDWA kabisa KUWADHIBITI hawa BODABODA wanaowabeba WATOTO wa CHEKECHEA...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Najua, Wengi wenu badala ya kujikita kwenye hoja, mtanijadiri na tena siyo tu kunijadiri, ila ni kwa kutoa matusi! Ni kweli hatuwezi kuwa na mtazamo sawa, na hii inakuja ili kutufanya tuonekane...
2 Reactions
19 Replies
83 Views
Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano...
7 Reactions
23 Replies
270 Views
Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
8 Reactions
50 Replies
397 Views
Wabena ni kabila la watu wenye akili sana wanaopatikana tanzania mkoani njombe. Idadi yao ni takribani milion 1 na kitu…..(makadirio) pia kabila hili linapatikana mikoa jirani kama morogoro...
1 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,825
Posts
49,529,016
Members
667,256
Latest member
sir dick
Back
Top Bottom