Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye...
25 Reactions
64 Replies
2K Views
Makocha wa kigeni wakitimuliwa, anapewa timu kuiongoza huku viongozi wakiwa busy kutafuta mzungu kuja kuwa boss wake. Yaani Mgunda anatumika mara 1 kama toilet paper au ndomu. Hili ni tatizo.
11 Reactions
41 Replies
703 Views
Kwanza nipende kutoa shukrani kutokana na maboresho yaliyofanywa na mwekezaji katika kuboresha soko la ccm ,Katoro Geita ,Changamoto kubwa iliyoibuka baada ya Mwekezaji kushika hili soko ni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa...
9 Reactions
34 Replies
603 Views
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
9 Reactions
51 Replies
521 Views
Hapo zamani mitandao ilileta routers na modem za kampuni maarufu kama Huawei na zote, Ma IT na mafundi wengi waliweza kuzifungua kwasababu wazungu, wachina, wahindi, waarabu, n.k. walikuwa...
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
9M Views
MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mji wa Makka ndio kitovu cha Uislamu duniani. Kwenye mji huu ndiko iliko Ka’aba, au kama wanavyoamini na kuiita Waislamu Bait – ul- Haram; au Bait – ul- Allah, yaani ‘nyumba ya Allah’ au ‘nyumba...
7 Reactions
6 Replies
737 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,714
Posts
49,525,798
Members
667,217
Latest member
mrisho salum
Back
Top Bottom