Habarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu...
Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point.
Uwepo wa mungu una dhihirika...
Kuna mikakati maalumu (kabambe) imeeandaliwa ili lastborn Simba SC ashike nafasi ya pili Hilo lipo wapi.
Goli walilofunga Tabora united na kudhurumiwa goli HIZO ni Juhudi za wazi kabisa kuwa...
Ni aibu iliyoje kwa serikali kushindwa kulipa fidia Kipunguni kwa kipindi cha miaka 27 na zaidi. je mwenye kustahili kuwajibika Waziri wa fedha,Uchukuzi,TAA au Rais na mwenyekiti wa CCM,tuambiwe...
Siku kama nne nyuma niliota nipo napita njia ambayo kiuhalisia naijua hiyo njia lakini sikuwahi kuipita, yaani unaiona njia inaelekea huko ila sijajua inaishia wapi nasjawah kujishughulisha kisha...
Wizara ya Elimu tunaomba mfute mtihani wa darasa la nne kwasababu unaleta mkang'anyiko kwa watoto watakao maliza la SITA na kuingia moja kwa moja kidato cha Kwanza maana yake watoto watakao maliza...
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia...
Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.