Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani. Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
3 Reactions
73 Replies
1K Views
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi. Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela...
4 Reactions
114 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu...
10 Reactions
156 Replies
4K Views
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
13 Reactions
74 Replies
2K Views
Niseme ukweli hawa ndio mawaziri wanaopaswa kuwa ofisini. Sio wale wa kuhudhuria mikutano na upigaji. Natamani kuona hata nafasi za uwaziri ziwe ni through competitive interview, cream’Tanzania...
2 Reactions
19 Replies
396 Views
BASHUNGWA AFIKA SOMANGA KUKAGUA ATHARI ZA MVUA BARABARA YA DAR - LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amefika katika eneo la Somanga - Mtama mkoani Lindi kuungana na Timu ya Watalaamu wa...
0 Reactions
1 Replies
57 Views
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo 2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi 3. Kuna...
10 Reactions
49 Replies
6K Views
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa Msiseme sikuwaambia Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga. nilipata kijisenti hapa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
"KATAENI JUHUDI ZINAZOFANYWA ZA KUJENGA CHUKI DHIDI YA RAIS"* ""Wanasema (CHADEMA) Rais Samia ni mzanzibar na hana nia njema na sisi (Tanzania Bara); hayo maneno hayana ukweli hata kidogo...
0 Reactions
4 Replies
41 Views
Je? Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB
1 Reactions
22 Replies
268 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,429
Posts
49,573,965
Members
667,936
Latest member
Regina Minja
Back
Top Bottom