Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa,
Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la...
JamiiForums ilipata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala...
Kuna uzi upo humu jukwaani tulikuwa tunabishana na majamaa kuhusu hizi diss tracks zinazotolewa na Kendrick Lamar na Drake. Hii bifu tunaoifaidi vizuri ni sisi tusio mashabiki wa Kendrick wala...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wakuu poleni sana na majukumu ya kutwa nzima. Ipo hivi mke anataka kujua password ya simu yangu tena analazimisha.
Sasa nataka aguse simu nimpasue, leo napasua mtu.
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃, simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.