Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
22 Reactions
175 Replies
7K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama . Christina...
3 Reactions
16 Replies
234 Views
Isaidieni jaman natafuta application ambayo naweza kusoma sms bila hawara kujua acha ile ya elfu 20 nataka ya free au bei chee nswasilisha
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
9M Views
Habarini za muda wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ninahitaji kuzalisha fedha kuanzia millioni moja na kuendelea kwa siku ya Kuanzia leo mpaka Jumamosi. Ili niweze kutatua tahadhari...
6 Reactions
18 Replies
660 Views
Shemsa Mohammed (Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu): Tusiwadharau Mabalozi MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu Shemsa Mohammed amewataka viongozi wa Chama hicho kutowadharau...
0 Reactions
2 Replies
70 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
13 Reactions
162 Replies
1K Views
1. Sare za chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa - TALGWU 2. Sare za chama cha wafanyakazi wa Afya na Serikali - TUGHE
0 Reactions
8 Replies
161 Views
Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia...
1 Reactions
17 Replies
185 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,517
Posts
49,521,752
Members
667,149
Latest member
Ellen Maguzu
Back
Top Bottom