Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie...
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.
Kuanzia...
Tuwekane sawa
#Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu.
#Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
Hawa ni Askari Polisi wa Tanzania wakimhoji binti wa Nigeria mwendesha pikipiki. Ametokea Uganda na ameeleza kuwa angeenda kupumzika/ kulala Kibondo.
Japo Kizungu cha "makamanda" wetu...
Kwa mujibu wa data kutoka Tume ya Madini na Wizara ya Madini zilizowasilishwa Bungeni 2024 zimeonesha kwamba Soko la Madini ya Dhahabu la Chunya-Mbeya limechangia mabilioni kwenye Mapato ya Nchi...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini.
Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani...
Kwa barabara za mjini Dar, ujenzi wake ni kila mwaka, barabara hizi hujengwa kwa gharama kubwa, lakini kila mwaka zinatengeneza mashimo.
Ukiangalia zile barabara zilizojengwa na kampuni ya...
Sakata la Maofisa wa Serikali waliojitengenezea mfumo bandia wa Makusanyo ya Fedha za Umma limezidi kushika Kasi na kuchukua sura Mpya.
Awali TAKUKURU iliwatia mbaroni watuhimiwa 40 lakini baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.