Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari ya muda huu.. Ilikuwa mwaka 2010 kwetu huko Tabora. Sisi tulikuwa wakulima wazuri wa zao la tumbaku. Wafanya kazi wetu kwa asilimia kubwa tulikuwa tunawatoa Burundi. Kulikuwa na huyo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
27 Reactions
320 Replies
6K Views
Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana...
7 Reactions
63 Replies
878 Views
Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala.. Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani...
26 Reactions
633 Replies
126K Views
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
1 Reactions
25 Replies
365 Views
Habar za wakati huu wanaJF? Binafsi nimekuwa nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni, nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua...
3 Reactions
68 Replies
1K Views
1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai... 2. Msukuma akioa Mbulu/Mrangi/Mnyaturu/Mmeru/Mchaga au Muiraki... 3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni... 4. Mdigo akioa...
0 Reactions
5 Replies
119 Views
Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanzaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
11 Reactions
68 Replies
831 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
50K Replies
3M Views
Video vixen amber rutty kapotelea wapi?
5 Reactions
35 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,002
Posts
49,591,858
Back
Top Bottom