Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa chini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika...
Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia...
Naandika kwa mara ya nne.
TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya nchini Tanzania walipata ufadhili na World Bank (WB) kuajiri watumishi wa afya ajira mkataba wa miaka mitatu.
Wamejitahidi...
Ndugu zangu naomba tumsaidie huyu mama anayezungushwa na NMB kupewa hati yake aliyoitumia kama dhamana ya mkopo miaka 5 iliyopita.
Naomba msaada wa kisheria kama kuna wakili humu ambaye yuko...
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia...
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com...
Mpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake...
Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao.
Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.