Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
Jaques biederer Ni myahudi aliezaliwa April 27 mwaka 1887 na kukulia uhamishoni ufaransa baada ya kukimbia mapigano uko ujerumani ambako wazazi wake walikua wakifanya Kazi.
Alianza Kazi ya...
Aprili 26, 2024: Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuriy a Watu wa Zanzibar ziliungana na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Awali ya yote wanakidoni Binafsi Huwa hatupendi kushabikia jambo bila kujuwa nyuma ya pazia Kuna Nini?
Siku zote ukiona mtu wa operation ana expose ile operation basi ktk jicho lakijasusi maswali...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kutokana na shughuli zangu za mashine mbalimbali za kuchakata mazao.Nilifungiwa umeme wa 3 phase.Ambao kwa wakati mmoja unaweza kuendesha mashina tatu mashine moja ya alizeti ina mota yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.