Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi...
6 Reactions
50 Replies
509 Views
Huu ni mkasa unaoenda mwanzo mpaka mwisho wake. Enjoy. Leon ana talanta ya kupiga picha lakini bado haijamlipa kama vile yeye anavyotamani. Anaamini anastahili kupata zaidi na zaidi na jambo...
8 Reactions
33 Replies
650 Views
Kwa ufafanuzi wa jana kuhusu kauli yako kuwa LISU ni mbaguzi kutokea hotuba yake ya Manyara, majibu aliyokupa ilitegemewa wewe kama nguli wa Sheria na uwe na uelewa wa Katiba zote za nchi hizi...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Najua, Wengi wenu badala ya kujikita kwenye hoja, mtanijadiri na tena siyo tu kunijadiri, ila ni kwa kutoa matusi! Ni kweli hatuwezi kuwa na mtazamo sawa, na hii inakuja ili kutufanya tuonekane...
2 Reactions
26 Replies
206 Views
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
5 Reactions
276 Replies
3K Views
Mzee alipata kuwa Jaji Mkuu Makamu wa Rais Waziri Mkuu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa...
0 Reactions
31 Replies
378 Views
Nimepata taarifa isiyo rasmi kuwa vigezo vya kijiunga na diploma ya pharmacy vimebadilika kutoka D za kemia na biolojia hadi D 5 zikiwemo fizikia,hisabati na English. Nawapongeza kwa mabadiko hayo...
0 Reactions
5 Replies
41 Views
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano...
0 Reactions
2 Replies
65 Views
HAYA NDIO MAKABILA 125 YA TANZANIA ANDIKA NAMBA YA KABILA LAKO UWAJUE NDUGUZO 1. Waalagwa (pia wanaitwa Wasi) 2. Waakiek 3. Wameru 4. Waassa 5. Wabarabaig (pia wanaitwa Wamang’ati) 6. Wabembe 7...
3 Reactions
46 Replies
600 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,844
Posts
49,529,655
Members
667,251
Latest member
sir dick
Back
Top Bottom