Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani.
Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie...
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
Wakuu,ingekua vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko..ni tahadhari gani umechukua?
Wakuu,
Hawa wadudu wameapishwa kuwa walinzi na kupambana watu kwa mafunzo gani? Kwa sifa gani walizonazo mpaka Makonda ameamua kuwaapisha? Huku "KUPAMBANA" na kila mtu "AKAYECHAFUA" heshima na...
Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.
Nyerere alimwaga sumu sana kwa...
Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani?
Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na...
Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe.
Aidha Lissu...
Sijui mtafanya nn mwaka huu Simba day ili mjaze uwanja, watu wamekata kabisa tamaa na timu, jana nilikuwepo uwanja wa Majaliwa Stadium tukidhalilika kwa Namungo dakika ya 89, kwanza washabiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.