Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Kuna TETESI kuwa hakuna matata nyimbo mpya ya MARIOO kufanyiwa remix nne Remix hizo ni kwa wasanii wafuatao 1. Diamond 2. Harmonize 3. Alikiba 4. Darasa Watu wanasubiri kuona ipi itakuwa Kali zaidi
3 Reactions
5 Replies
44 Views
Je? Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB
1 Reactions
4 Replies
60 Views
Godbless Lema ameandika ukurasani X Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee
2 Reactions
12 Replies
341 Views
Alizaliwa akiwa mzima wa afya na mwenye viungo vilivyotimia Kazi yake ilikuwa ni dereva wa malori, mwaka 1971 alipata ajali mbaya sana ya gari hali iliyompelekea kupata ukipofu na ukiziwi. Ikawa...
8 Reactions
19 Replies
322 Views
Match Day NBC Premier League Mashujaa Vs Yanga Lake Tanganyika Stadium Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
13 Reactions
106 Replies
2K Views
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani. Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
2 Reactions
38 Replies
495 Views
Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile Je siku akitokea...
3 Reactions
14 Replies
177 Views
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) (ambaye jina lake limehifadhiwa) kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu...
2 Reactions
11 Replies
161 Views
Huyu mtangazaji Sauda Mwilima Kama sijakosea jina Yuko wapi siku hizi?.Alikuwa anakipindi star tv,akiwahoji wasanii mbalimbali wa mziki.
5 Reactions
43 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,416
Posts
49,573,090
Members
667,935
Latest member
Regina Minja
Back
Top Bottom