Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali.
Ikitokea mchezaji mzuri...
"Tanzania, njia ya mafanikio, tunakumbatia fikra mpya, tukiendeleza rasilimali zetu na uvumbuzi. Kwa miaka ishirini na tano ijayo, tunajiwekea malengo ya kubadilisha uchumi wetu kupitia viwanda...
Lile kundi la wahuni ambalo liko nje ya mfumo ndani ya klabu ya mnyama ambalo limesababisha uongozi ushindwe kufikia malengo kwa kuharibu mipango na mikakati yote ya uongozi wa Simba limeanza...
Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani.
Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe , sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie...
Mwishoni mwa mwaka Jana, nilienda nchini Kenya kupitia mpaka wa Sirari.
Kwa sababu nilifika "border" Usiku, niliamua kulala gesti ili niendelee na safari Asubuhi yake.
Nilimka vizuri, na...
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Huwezi mfanya Mwanamke...
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
Nilitoka Makumbusho mpaka Gongolamboto hadi Chanika
Ni safari ndefu sana ni kama mtu kasafiri mkoa kwenda mkoa mwingine
Jamani Chanika ni mbali tena mbali sana, wanaokaa huko na wanafanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.