Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote Sijui kuna agenda...
9 Reactions
69 Replies
813 Views
Habari za majukumu wadau, naomba nizame kwenye maada moja kwa moja Wiki iliyopita nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge mara nikasikia mlio wa message WhatsApp kwa kuwa simu ilikuwa kimya kwa...
3 Reactions
9 Replies
163 Views
Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit Asante
1 Reactions
7 Replies
80 Views
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa Msiseme sikuwaambia Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga. Nilipata kijisenti hapa...
2 Reactions
5 Replies
105 Views
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina...
15 Reactions
77 Replies
1K Views
Katika vyama vya siasa vilivyo vingi Tanzania ikiwemo hata CCM yenyewe nivigumu kusikia kingozi au mwanachama akikosoa mwenendo wa chama au kiongozi wachama chake na asijikute katika wakati mgumu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tupia chochote kuhusu wanyama Kibaya Kizuri Cha kuelimisha Cha kuchekesha Cha kushangaza Cha kuhuzunisha Cha kufurahisha Cha kusikitisha nk nk
52 Reactions
2K Replies
111K Views
Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya...
3 Reactions
13 Replies
174 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
47 Reactions
245 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,472
Posts
49,575,881
Members
667,971
Latest member
Gift Estomy Petro
Back
Top Bottom