"University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them for their safety. How beautiful Scene!"
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.
Kuanzia...
Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje Zanzibar. Hata ule msemo wa kwenye bible kuwa asiyefanya kazi asile aje Unguja atengue...
Hiki chombo ni mhimili muhum sana katika serikali.
Tukianza na Serikali haina shida
Mahakama haina tatizo
Shida ipo bunge
1. Chombo kinachotumia pesa nyingi bila tija.
2. Wahuni hujikusanya...
Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa,
Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la...
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje...
Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.
Naonaga zinapigwa nyimbo za dini au ni sheli ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.