Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada ! ! ! Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo Calculator ya TRA sh...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Mzuka wanajamvi! Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na kusababisha vita vikali baina ya Urusi na Ukraine kujilinda. Huenda ikasababisha Liverpool FC isichukue ubingwa wa EPL msimu huu wa 2021-22...
4 Reactions
19 Replies
994 Views
  • Sticky
Full name: Manchester United Football Club Nickname(s): The Red Devils Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C. League: Premier League Website: ManUtd.com...
169 Reactions
201K Replies
11M Views
Mzee alipata kuwa Jaji Mkuu Makamu wa Rais Waziri Mkuu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa...
0 Reactions
36 Replies
587 Views
Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel ametoa muda wa miezi miwili kwa uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kujitafakari kuhusu uwezo wao wa kusimamia ubora wa huduma za afya. Amesema hayo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau wa Jamii Forum hamjamboni nyote? Nimeleta swali kwenu nyie mlio wabobezi wakubwa masuala ya kihistoria na Kiimani pia. Napenda kujua sababu gani hasa ziliwazuia Wana wa Israel...
3 Reactions
4 Replies
379 Views
Kaimu RPC wa mkoa wa Mtwara, ACP Nicodemus Katembo amesema kuwa Jeshi la Polisi Mkoani humo, linamshikilia Shaibu Kuselela 58, mkazi wa kijiji cha Lipalwe halmashauri ya wilaya ya Tandahimba...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
9 Reactions
61 Replies
649 Views
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Baada ya mzee Lyatonga Mrema kufunga ndoa mpya Machi 24, 2022 mitandaoni kukaibuka maneno mengi kuwa inakuwaje mwanasiasa huyo mkongwe anafunga ndoa wakati wa kipindi cha mfumo wa Kwaresma...
2 Reactions
12 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,868
Posts
49,530,274
Members
667,271
Latest member
peter one
Back
Top Bottom