Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wananchi tunataka kila kiongozi aliye pewa dhamana na Rais wetu kuwa mbunifu na mwenye kuona mbali....huyo ndiye kiongozi. Tumefarijika kumsikia Waziri wa Kilimo Mh. Hussein Bashe kuwa watajenga...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Hawa wazazibar wakiwa zanzibar wanajiita wazanzibar, wakiwa nchi za watu wanataka waitwe wazanzibar wakija Tanganyika wanataka waitwe watanzania. Sisi watanganyika tukiwa Tanganyika tunajiita...
2 Reactions
14 Replies
51 Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
4 Reactions
114 Replies
2K Views
UNAWEZA KUDHANI AMELALA, KUMBE AMEKUFA. Ni miaka mingi toka afariki dunia, lakini hakuzikwa. Badala yake serikali iliamua kuuhifadhi mwili wake ili uwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo. Hiyo ni...
1 Reactions
5 Replies
48 Views
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile. Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa...
7 Reactions
57 Replies
2K Views
Tundu Lisu akiwa Dodoma ametoa elimu kubwa sana ya Katiba ya Zanzibar dhidi ya Katiba ya Muungano. Wasomi wengi wamejikuta wakimsikiliza na kwa sasa YouTube majibu clip ya majibu yake ndiyo...
1 Reactions
2 Replies
5 Views
JamiiForums imepata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala...
9 Reactions
79 Replies
995 Views
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena...
11 Reactions
71 Replies
3K Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
75 Reactions
4K Replies
253K Views
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo. Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
10 Reactions
70 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,896
Posts
49,531,403
Members
667,268
Latest member
peter one
Back
Top Bottom