Wengjne wote ambao nilikuwa nikiwasikia na kuwafuatilia Wao ikifika sehemu ya kusema hali ya Bahari itakuwaje walikuwa wanasema Kiuhuruma na kama vile kuogopa Kutisha Wananchi ila Kudadade huyu...
29 April 2024
Nairobi, Kenya
Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wasalaam
Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu.
Ilikuwa...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali...
Raia 12 wa Malawi ni miongoni mwa raia 40 wa Kigeni waliokamatwa baada ya kuacha kazi kwenye mashamba ya Arava na Lion kutokana na kulipwa Ujira mdogo na kwenda kutafuta kazi za zenye malipo bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.