Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Siasa ni mchezo fulani hivi na mara nyingi safu za Uongozi wa Upinzani hupangwa na CCM. Ndio sababu Zitto Kabwe alipotaka kwenda CCM akawe Waziri, Rais wa Wakati Ule alimwamuru asubiri kwanza...
0 Reactions
10 Replies
108 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tunakaribisha maoni mbalimbali na hata mawazo tofauti kati ya wanachama na viongozi wetu. Kama chama cha kidemokrasi, Chadema tunaona suala la...
0 Reactions
2 Replies
8 Views
Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
18 Reactions
190 Replies
4K Views
vijana wengi huzingatia sana umri wa kuoa kutafuta waliofanana nao rika na amra nyingi huwa ni wale marafiki zao ama marafiki wa marafiki zao. Sababu kuu huwa ni "nioe binti mdogo tutaongea nae...
0 Reactions
1 Replies
16 Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
20 Reactions
5K Replies
208K Views
Salama kitu gani? Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu...
1 Reactions
7 Replies
112 Views
Habarini Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani...
0 Reactions
39 Replies
554 Views
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi Nikaona ni vema...
4 Reactions
39 Replies
515 Views
Binamu yangu aliolewa mwezi Oktoba 2016. Aliolewa na kijana wa Bagamoyo huko mtoto wa Mganga. Baada ya ndoa wakaenda kuishi huko Bagamoyo nyumbani kwa wazazi wa mume wake. Maisha yameendelea tu...
1 Reactions
48 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,862
Posts
49,557,605
Members
667,686
Latest member
Shagihelo
Back
Top Bottom