Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.
Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!
Mke anavutia sana napatwa...
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia
Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi
Nikaona ni vema...
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu ambao hawaishi kuwasemea vibaya wahitimu wa elimu ya ngazi za juu hapa nchini. Ni kweli tatzo la ajira linazidi kuwa kubwa lakini sio sababu ya kulaumu na kuwasema...
Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Huu mfuko umejaa dhuruma na kutojari malalamiko ya wateja wao! Kimbunga hidaya kiwapige kikianzia na mkurugenzi wao mkuu kwasababu hajitambui analipwa hela ya umma bure!
Lissu anaweza kuwa na mapungufu yake kwa sababu ni binadamu. Lakini kwa jinsi alivyoipigania Tanganyika tokea akiwa bungeni hata sasa akiwa nje ya Bunge, Historia haitamsahau.
Watanganyika wa leo...
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu
1.) Kila nchi ina Rais wake
2.) Kila nchi ina katiba yake
3.) Kila nchi...
Kuna makundi mawili yenye nguvu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo yanayodaiwa kupishana mitazamo ya namna ya kuendesha siasa kuelekea chaguzi za SM na ule mkuu wa 2025.
Kundi la kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.