Habar za wakati huu wanaJF?
Binafsi nimekuwa nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni, nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua...
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
Kwa watu wa dar maeneo ya posta kariakoo na mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta...
Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically .
Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew
Wanzaa kwa mpango
Wapo logically
Wapo na mental well being.
Be blessed , Golden generation.
Bado serikali yetu jambo ambalo nafikiri linawasumbua moja ya kukosa mapato makubwa ni real estate ambazo lile wazo la majengo ya urafiki dar es salaam lingeendelezwa lingekuwa msaada mkubwa ya...
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
tv ziko poa kabisa na ni mpya zilikua sampo dukani bei yake ni Tsh170000/= mikoani pia tunatuma ila garama ni zakwako mwenyewe, tunapatikana kariakoo mtaa wa msimbazi karibia na jengo la simba...
Huwa najiuliza ingekuwaje tungepata uhuru mwaka 1919 baada ya Mjerumani kushindwa vita vya kwanza vya duni 1914 hadi 1918.
Kumbuka tungekuwa nchi moja na Rwanda na Burundi.
Je tungetumia lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.