Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe. Imefika pahala kila kona...
8 Reactions
93 Replies
1K Views
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale. Barabara hii imejengwa chini ya viwango. Na tukumbuke waziri aliyehusika...
13 Reactions
106 Replies
2K Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
87 Reactions
546 Replies
21K Views
Naomba wajuzi mniambie, kuna jamaa wanasema nichukue IST kwa ajiri ya kupata uzoefu wa magari kwanza
7 Reactions
43 Replies
29K Views
Star wa nyimbo za gospel Christina Shusho dada anaonekana mtamu huyu sijui yule jamaa ake alifeli wapi.
10 Reactions
105 Replies
3K Views
Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata wanaume pia? nilidhani ni kwa wanawake tu. Ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia...
2 Reactions
19 Replies
269 Views
Hii ni Scopes Trail (July 10–21, 1925, Dayton, Tennessee, U.S.); Ambapo Mwalimu wa Shule John T. Scopes alikuwa charged kwa ku-violate Sheria ya State ya kufundisha Evolution.... Case yenyewe...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
  • Suggestion
Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto,makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini Utangulizi WAKATI nchi nyingi duniani zikiendelea na mkakati wa...
0 Reactions
3 Replies
95 Views
Majuzi tulipokea utambulisho wa mtoto wa kaka, kaleta kijana huyo kila mtu alichokaaaaa Mtoto wa kaka nae ndio wale matajiri waliosomaga ulaya kuanzia sekondari mpaka chuo, ungetegemea alete...
3 Reactions
11 Replies
150 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,947
Posts
49,590,090
Back
Top Bottom