Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habar za wakati huu wanaJF? Binafsi nimekuwa nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni, nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua...
2 Reactions
45 Replies
613 Views
Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanzaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
7 Reactions
15 Replies
152 Views
Kuna mambo kama Wazazi huwa tunafanya kwa watoto bila kujua kama vinawaharibu na kuwashushia kujiamini au kuondoa ujasiri wao katika maisha yao yote. Mambo Matano yanayochangia Kuharibu Ujasiri...
1 Reactions
3 Replies
28 Views
Sheikh mkuu wa mkoa wa Arusha Alhaj Shaban Bin Jumaa na viongozi wote wa Baraza Kuu la Waislamu mkoa wa Arusha wamemfanyia Dua maalumu mkuu wa mkoa huo ndugu Paul Makonda Source: Mwanahalisi Digital
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka.. Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online. Nifanyaje...
19 Reactions
102 Replies
2K Views
Toka kuanza kwa vita ya Gaza Dunia imeshuhudia mtikisiko mkubwa unaotishia ustaarabu wa jamii za asili za mataifa ya magharibi ambao kimsingi unatokana na ushawishi wa ukiristo. Siku za karibuni...
-1 Reactions
30 Replies
471 Views
Tanzania ni nchi yetu sote hatuna taifa jingine zaidi ya Mama Tanzania. Tukiwa kama watanzania wenye uchungu na taifa letu hatuna budi kulilinda dhidi ya maadui au chokochoko za aina zote. Kauli...
2 Reactions
36 Replies
400 Views
  • Suggestion
Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inaangalia mbele kwa matumaini katika kuleta mabadiliko makubwa katika sekta muhimu za uchumi wake: madini, utalii, na viwanda. Kwa...
2 Reactions
5 Replies
235 Views
KILIMO BORA CHA MPUNGA: A: kuandaa shamba shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow) Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti weka mifereji ya Maji vizuvizur Andaa...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Mjini shule, kua uyaone. Hii imetokea sikukuu ya Idd nilikua nakatiza mitaa fulani amaizing nilikuwa nimetinga pamba kali nashine hatare.Huku nimevalia kiatu matata nilichonunua china kupitia apps...
3 Reactions
25 Replies
14K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,918
Posts
49,589,525
Back
Top Bottom