Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Lengo ni kuona mitindo mbalimbali ya ujenzi wa nyumba za chini
0 Reactions
17 Replies
207 Views
Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa. Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba...
13 Reactions
64 Replies
938 Views
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) ambaye jina lake limehifadhiwa kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari zenu, kuna fursa nimepata nzuri sana ila sina capita ya kutosha iko ivi. Kuna jamaa anafanya kazi kampuni fulani ya mafuta ya kupikia, yaani kiwanda kipo nchi fulani kisha Tz kuna brach...
5 Reactions
22 Replies
473 Views
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao. Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
20 Reactions
204 Replies
4K Views
Habari Wana jf Leo nataka niongelee kidogo kitu inaitwa sexy/kujamiiana kwa ufupi Sana, SEXY ni kitu Cha maana Sana hapa duniani maana bila hiyo kitu leo sisi tusingepiga story apa, inafainda...
2 Reactions
13 Replies
192 Views
Leo kanisani nilikuwa na Kigogo mmoja wa UVCCM mkoa wa Pwani ambapo alinipa ABC za vita yao na mwanamitandao Mange Kimambi. Jamaa ameniambia mwaka huu lazima mwadada huyo aombe msamaha rais na...
8 Reactions
41 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu...
10 Reactions
140 Replies
3K Views
Moja kati ya watu Ambao nlipinga sana kubinafsishwa kwa Bandari basi mimi ni mmojawao sikupenda kabisa huu mpango, Lakini nilipokaa na kukumbuka kipindi najitafuta nikiwa nafanya Vibarua Bandarini...
0 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,398
Posts
49,572,488
Members
667,903
Latest member
kipscalich
Back
Top Bottom