Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mungu awe nanyi, Dunia Ina mengi matamu tumeishi nyakati zote tunaona utamu wa Dunia ila kwa sasa mapenzi yamekuwa Machungu sana, bila pesa wanaume tumegeuka vibwengo watazamaji wa miili minono...
3 Reactions
10 Replies
110 Views
Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi...
4 Reactions
63 Replies
926 Views
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani...
4 Reactions
33 Replies
344 Views
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao. Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
7 Reactions
113 Replies
917 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Jeshi la Polisi limemkamata wakili Yonas Masiaya na kumnyima dhamana. Tukio hilo limetokea jana jioni, Aprili 30, 2024, huku likiwaacha wengi wakijiuliza maswali kuhusu utaratibu wa kisheria...
3 Reactions
56 Replies
3K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
1 Reactions
115 Replies
2K Views
Je umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye ndevu nyingi? Bila shaka, jibu ni NDIYO. Hilo ni tatizo la kiafya ambalo hujulikana kwa kitaalamu kama Hirsutism. Leo tujifunze kuhusu sababu za...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Naona baada ya kutafuta wapi na nini watanzania wanataka, sasa umeshaelewa, kamatia hapohapo, awareness ifanyike, na hiyo ndio ticket yenu itakayo win mioyo ya wapigakura mwaka huu serikali za...
3 Reactions
13 Replies
351 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,351
Posts
49,544,376
Members
667,407
Latest member
Masele mhunzi
Back
Top Bottom