Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.
Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kama nilivyo waambia wakuu nimesoma degree ya Accounting and Finance Jana nimeandaa barua 9 kwa ajili ya kusambaza kwenye taasisi mbali mbali hapa Arusha ili kuomba internship ila zilizo pokelewa...
Not to be rude or anything, but I feel like our elders really need to start thinking about retiring. Gosh, I swear employment has been hectic.
They come up with the excuse that youth don't want...
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
*Nina maumivu makali ya nyonga
*Maumivu makali chini ya kitovu (kwa pembeni)
*Mkojo ni wenye harufu mbaya kupita kiasi
*Nilishaweka mkojo kwenye container, kesho yake nikakuta unatoa wadudu...
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu,Yupo vizuri kimaisha,Kama mwanaume nilijikuta nikimtamani mana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz...
pamoja na matatizo yaliyopo na mmejitolea kulipia form. hivi hizi tshirt mnapewaga ngapi
tangu jana hadi leo nawaona na tshirt zenu za blue kila mahali
Walimu zaidi ya 5000 mkoani Songwe wamejikuta wanamwaga machozi baada ya kuachwa solemba na viongozi wao wa CWT walio waahidi kuwaletea Tisheti watakazo vaa kwenye siku ya wafanyakazi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.