Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia Zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.
Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo...
Wanaume wenzagu tuweni makini sana na hawa viumbe.
Huko kwenye viwanja vya starehe kunatisha, wanawake wanakunywa pombe kali, wanavuta bangi, sigara, shisha nk,
Hapohapo kuna wale wa mitaani...
Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi.
Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye...
ALIVYOOOONDOKA NABII WALIONGEA MENGI WAKAFURAHIA WANACHUKUA UBINGWA
NENDEN MKASAFISHWE KWA MWAMPOSA BURE KAZI MNNANYO
SASA HATA NAFASI YA PILI HAWAIONI
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Mzuka wanajamvi!
Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
Introverts ni wachache sana lakini wana asilimia kubwa kwenye kufanikiwa kupitia masomo, ubunifu, teknolojia, n.k.
Huku kwenye mambo ya teknolojia kuanzia kina bill gates, mark, steven jobs, n.k...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia
Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi
Nikaona ni vema...
Kazi kuu ya Viongozi wa dini ni kuchunga kondoo wa Mungu, iwe Makanisani au Misikitini ama kwingineko.
Sasa hili la kupewa vibali vya kuagiza sukari kutoka nje ya Nchi ni jambo jipya, na je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.