Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
925 Reactions
1M Replies
40M Views
Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana...
2 Reactions
24 Replies
295 Views
Mojawapo ya kosa kubwa sana la kiufundi kwa vijana wengi wadogo wanaoanza biashara ni kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu ambavyo havirudishi pesa kwa haraka au pengine havirudishi kabisa. Vijana...
21 Reactions
29 Replies
623 Views
Usihangaike kuhusu kusajili biashara yako tutakusaidia Huduma zetu: 1. Kusajili jina la biashara BRELA 2. Kusajili kampuni 3. Leseni ya biashara 4. Kusajili NIDA 5. Social Media Management 6...
3 Reactions
133 Replies
3K Views
Nauza simu Nokia 105 mpya Zipo kwenye box kuna rangi nyeusi, bluu na pink Zinaingia line mbili Karibuni sana Mawasiliano 0717 592 165
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe. DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
5 Reactions
205 Replies
3K Views
kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa[emoji3] naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work[emoji16]
1 Reactions
6 Replies
26 Views
Karibu JSL COURIER kwa huduma bora ya kuhama na kuhamisha vitu kutoka mtaa A kwenda mtaa B na kutoka mkoa A kwenda mkoa B. Huduma zetu ni nzuri, nafuu na uaminifu ni mkubwa mno. Usisumbuke tena...
2 Reactions
68 Replies
1K Views
Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
4 Reactions
86 Replies
691 Views
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale. Barabara hii imejengwa chini ya viwango. Na tukumbuke waziri aliyehusika...
5 Reactions
42 Replies
628 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,831
Posts
49,586,516
Back
Top Bottom