Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa.
Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu maswala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
Salaam, Shalom.
Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo.
Cha kushangaza wanaibuka...
Salaam,
Nimenunua simu kwa njia ya mtandao (huawei p8 lite),
Imenifikia tyr lakini laini hazisomi,,, wataalamu shida ni nn
Labda sikua makini kwenye kuangalia (mtandao ni KIKUU)
Kwa mujibu wa nyaraka za Sumeria , zinazungumzia namna Binadamu alivyotokea , Binadamu alitengenezwa maabara (Genetic engineering) na kazi yake ilikuwa ni kufanya kazi kwenye migodi ya dhahabu...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mara kadhaa Chadema wamekuwa wanawadanganya watu wasioelewa kwamba eti Katiba Mpya ndio muarobaini wa Rushwa na Ufisadi licha ya kina Bob Wine kuwapa somo kwamba jambo Hilo linategemea uadilifu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.